Kufuzu kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ni heshima kubwa. Ni kama harusi ya kitaifa, sherehe ya mafanikio baada ya safari ndefu ya ushindani, uchungu na matumaini. Ndiyo maana kwa ...
Wiki ya pili sasa kumekuwa na maandamano katika miji kadhaa ya Kenya yaliyoitishwa na upinzani chini ya kinara wa ODM na mwanasiasa wa upinzani wa muda mrefu, Raila Odinga. Kwa mujibu wa Upinzani ...